Mbunge wa Monduli, Mheshimiwa Edward Lowasas, akivishwa vazi la asili la kabila la Kimasai na wanakwaya wa Kwaya ya Upendo (kwaya ya Kimasai) katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Mwenge jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2011 alipoalikwa kama mgeni rasmi.
Mheshimiwa Lowassa akiwa katika vazi la lubega. Kushoto kwake ni mkewe, Mama Regina Lowassa, wakati ibada ikiendelea.
Ni katika Libeneke Bungeni Dodoma wadau wa Asili Yetu: Kushoto ni mmoja wa wahusika wa asili-yetu.blogspot.com. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Mh. Vita Kawawa na kulia ni Muhidin Issa Michuzi, mmiliki wa blogu ya MICHUZI
Mashine za kusagia na viti vya asili vikiwa sokoni.
Inatia moyo
ReplyDelete